eFisher App

Karibu!

Ili uweze kutumia application ya eFisher kama tester , unatakiwa kwanza uwe na simu janja (Smart phone) iliyo tengenezwa kwa program ya android.

Jambo la pili ni kwamba unatakiwa kuwa umejiunga na kikundi (group) cha google. Bofya kwenye hapa chini kuweza kujiunga kwenye kikundi cha google kama tester wa hii application.

JIUNGE KIKUNDI CHA GOOGLE

Bofya join baada yah apo ukurasa unao fuatia bofya join group.

Hatua inayofuatia ni kupakua application ya eFisher kutoka Play Store . Kupakua hiyo application bofya hapa chini:

PAKUA APPLICATION YA eFisher

Utapata ukurasa ambao kwanza unatakiwa ukubali kuwa tester kwa ku bofya link iliyo andikwa BECOME A TESTER baada yah apo fuata maelekezo ya kupakua na kusimika hiyo eFisher application

TOA MAONI KUHUSU eFISHER